Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Kutoa fursa ya kuwaleta pamoja Maafisa Waandamizi waliochaguliwa kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali na Taasisi nyingine kwa madhumuni ya kuwafunza kwa kina kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu hali ya sasa ya Usalama wa Taifa kwa ujumla na hasa Tanzania. Kurahisisha maendeleo ya kibinafsi...
Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania ni kituo chenye umahiri wa kufanya mafunzo ya Usalama wa Taifa kwa namna ya kipekee na ya kina zaidi. Ni Taasisi mtambuka ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Imeanzishwa na kupewa mamlaka ya kuendesha Kozi ya Mafunzo ya Usa...
Mipango ya kuanzisha Chuo cha Taifa cha Ulinzi ilianza tangu kuanzishwa kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katikati ya miaka ya sitini. Hata hivyo, wazo halisi la kuanzishwa kwa Chuo cha Taifa cha Ulinzi nchini Tanzania lilitolewa miaka ya 1990. Kabla ya kufungua Chuo cha Taifa cha U...
Washiriki wa Kozi waliodahiliwa katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi kwa Kozi ya Mafunzo ya Usalama na Mikakati kwa kawaida ni wa makundi matatu yaliyochaguliwa kutoka Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Wizara na Taasisi na kutoka kwa Majeshi rafiki au washirika. Vyombo vya Ulinzi na Usalam...