ZIARA YA KIMAFUNZO
ZIARA YA KIMAFUNZO
13 Apr, 2023
Kozi ya 11 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania itafanya ziara ya kimafunzo kwa Nchi za Afrika ambazo ni Senegali, Kenya, Botswana, Namibia, na Angola. Ziara hizi za kimafunzo zitakuwa za wiki moja kuanzia tarehe 16 Aprili hadi 23 Aprili, 2023.